ANZAC Centenary 2014-2018: Sharing Victoria's Stories

UTAMKUMBUKA NANI?

who collage landscape

Tarehe 25 Aprili, Siku ya ANZAC, huadhimisha siku ya kuwasili kwa majeshi ya Australia na New Zealand kwenye Gallipoli siku hiyo mwakani 1915. Kwenye siku ya ANZAC, wana Victoria huwakumbuka hao watu wote waliotumika sio tu kwenye Vita ya Kwanza ya Dunia, lakini katika mapigano pamoja na vita katika karne iliyopita. Tuwakumbuka wale waliotumika pamoja na kujitoa, pamoja na wale wote walioadhirika kutokana na vita au mapigano.

Hata kama familia yako imekuwa hapa kwa miaka mia moja, miaka maelfu, au ndio umefika sasa– Siku ya ANZAC ni siku wana Victoria wote kukumbuka.

Hata kama ni katika ibada ya Alfajiri katika Kumbukumbu ya Dhabahu ya Melbourne au katika ibada ya jumuia ya eneo lako – huu ni wakati wa wa kukumbuka na kufanya mwunganisho.

Matukio ya Siku ya ANZAC Katika Victoria